Alikiba ameamua kutoa kofia kwa ajili ya mashabiki zake wa nguvu, kama wewe ni team kiba (nikimaanisha unamuelewa au hata kuuelewa mziki wake) na unapendaga kutupia cap basi hapa support yako ni muhimu, tafuta cap ya kiba ushow love..HONGERA SANA KIBA..
Thursday, November 17, 2016
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment