Diamond platnumz a.k.a Chibu Dangote aja na perfume ambayo sio mda mrefu ataiingiza sokoni. Perfume hiyo inaitwa "CHIBU" (Chibu Perfume).. diamond amepost video katika mitandao yake ya kijamii inayoionesha bidhaa hiyo...
Pia ametwit hiki hapa..
Pia kwenye box la perfume hiyo, Mond ameweka ujumbe huuAbout to make another History @ChibuPerfume #TheScentYouDeserve soon will be in your favorite store! https://t.co/D8kFLYiCAO— Chibu Dangote (@diamondplatnumz) November 16, 2016
'It took me years to make the whole world to be in a small bottle'
Akiimaanisha 'Imechukua miaka yeye kufanikiwa kuiweka dunia nzima kwenye chupa ndogo'
HONGERA SANA PLATNUMZ
0 comments:
Post a Comment