Ni blog inayokupa nafasi nzuri ya kusikiliza na kupakua nyimbo mbalimbali na kupata habari za wasanii ndani na nje ya Tanzania punde zinapojili. Blog hii inamilikiwa na 'Eddy Entertainment', iliyoanzishwa na kijana anayependa sana muziki na anafanya blogging kama 'hobby'. Pia kama wewe ni msanii chipukizi unayonafasi ya kututafuta na kututumia wimbo wako nasi tutauweka kwenye blog yetu BURE. Karibu sana!
AHSANTE KWA KUTEMBELEA MUZIKIKA
Subscribe to:
Posts (Atom)