DIAMOND ATOA SHAVU KWA WAREMBO (VIDEO QUEENS),
Baada ya kufanya vizuri na Harmonize kwenye 'Bado', Diamond anatarajia kuanza kushoot wimbo akiwa na Rayvanny (Raymond) wanaofanya kazi chini ya lebo ya Wasafi.
Diamond ametwitt "Shooting my other HIT ft next week in Dar / Tanzania..if you are Cute & African Queen and you would love to be part of it DM me!!" Akmaanisha anategemea kushoot nyimbo nyingine kali na Raymond wiki ijayo Dar/Tanzania. Kama wewe ni mrembo na malkia wa kiafrika na ungependa utokelezee kwenye kichupa hicho uwasiliana naye.. Hivo kazi kwako kama unadhani unaweza kuwa video queen anayefaa mbele ya camera na kuonekana kwene kioo.
Japo twitt hiyo imejaa maswali kutoka kwa mashabiki wake aliowaahidi kutoa kazi aliyofanya na P square ambayo mpaka leo haijatoka.
0 comments:
Post a Comment