Anaitwa Basomarley (Basso), asili yake ni mwanza ila kwa sasa anaishi jijini Dar es salaam, ni jamaa mwenye uwezo mkubwa sana wa kuchana. Pia ni mwandishi mzuri wa mziki miondoko ya hiphop.. Hakika mwanza ni jiji lenye vipaji vikubwa hasa upande wa Hiphop. Kuthibitisha hili msikilize basso kwenye hii cover ya wimbo wa mtu mzima FID Q unaoitwa NENO. Basso kautendea haki mdundo mzuri wa wimbo huu hadi natamani ningekuwa Fid Q ningemtafuta huyu jamaa nifanye naye collable matata
BASSO - NENO COVER... Enjoy...
Tuesday, June 28, 2016
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment