HABARI: LIL WAYNE ALIPOST HIKI SIKU MOJA BAADA YA KUANGUKA KIFAFA.
Dwayne Michael Carter, Jr. anayejulikana kama Lil Wayne, ni msanii wa hip hop nchini Marekani. Tarehe 14.06.2016 aliripotiwa kuanguaka kifafa kwenye ndege binafsi walipokuwa wakisafiri kutoka mjini Wisconsin kuelekea California. Ndege hiyo ililazimika kutua mjini Nebraska kwa dharura na kumkimbiza hospitali star huyo lakini baada ya kufika kwenye geti la hospitali, Wayne alipata fahamu na aligoma kuingia hospitalini hapo hivo wakaendelea na safari na mda mfupi baadae akaanguka tena! Lil Wayne alikiri kuwa na historia ya kifafa!
Siku moja baadaye alipost hiki kuwashukuru na kuonesha upendo kwa mashabiki wake kupitia ukurasa wake wa twitter! Nanukuu “thanx for all the prayers!! I love y’all”
Akimaanisha 'Ahsanteni kwa maombi!! Nawapenda wote'
0 comments:
Post a Comment