Msanii kutoka Marekani Robyn Rihanna Fenty maarufu kama RIHANNA amerudi tena kwenye game kwa kishindo baada ya ukimya wa miaka minne. Katika wimbo wake mpya ameshirikiana na msanii kutoka canada aitwaye PARTYNEXTDOOR na wimbo wao unaitwa BELIEVE IT.
Huu chini kwenye link.
0 comments:
Post a Comment