Kati ya vijana wanaofanya vizuri sana katika sanaa (comedy) bongo ni pamoja na David Zinjo, hii ni baada ya kudhihirisha uwezo wake katika clip itwayo God's Voice pamoja na filamu mbalimbali kama 'Precious love', 'Near the stick', 'She is mine' n.k.. Leo amekuja tena na hii video cover akiwa na Shebby.. Kwa mawasiliano na David piga simu no: 0759454691, 0717124924.......
VIDEO HII HAPA..
Sunday, August 28, 2016
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment