Kama alivyowaahidi mashabiki wake, Queen wa bongofleva Lady JayDee a.k.a kimandoo Jide, Leo ametoa single yake mpya inayoitwa SAWA NA WAO. Wiki iliyopita Lady Jaydee aliwaahidi mashabiki wake kuwa jumatatu ya tar.4/7/2016 yaani leo atatoa wimbo wake mpya uitwao SAWA NA WAO hivyo ametimiza ahadi yake. Pia Jide amesema atakuwa anatoa wimbo mmoja kila baada ya miezi mitatu kutoka kwenye album yake mpya ambayo tayari imekamilika kurekodiwa na tayari anayo ndani.
Wimbo SAWA NA WAO huu hapa...enjoy..
Monday, July 4, 2016
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment