KILA KHERI CHIDI BEENZ..............................................
PICHA (6): HUYU NDO CHIDI BEENZ WA SASA.
Siku chache baada ya kutoka sober house bagamoyo, huu ndio muonekano mpya wa msanii mkongwe wa hiphop na bongo fleva nchini 'Chidi Beenz'. Picha hizi amezipost kwenye ukurasa wake wa instagram mpya officialchidibeenz uliofunguliwa juzi tar.15/06/2016. Mpaka sasa ukurasa huo una followers zaidi 28,000.
KILA KHERI CHIDI BEENZ..............................................
KILA KHERI CHIDI BEENZ..............................................
0 comments:
Post a Comment