Baada ya kufanya vizuri sana na "ndi ndi ndi", jumatatu ijayo 04/07/2016 Lady Jay Dee anatarajia kuachia hit nyingine itakayokwenda kwa jina la "Sawa na wao", kama unamkubali star huyu kaa mkao wa kula.. pia dondosha comment yako hapo chini,, bonyeza 'facebook comments' kisha andika komenti yako.
Tuesday, June 28, 2016
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment