728x90 AdSpace


Tuesday, June 21, 2016

HABARI: WIZKID ANAZIDI KUPAA

Wizkid ni mmoja kati ya wasanii wenye majina makubwa nchini Nigeria kutokana na uwezo wake mkubwa katika sanaa. Na sasa ameingia kwenye headlines tena baada ya kufanya kolabo na producer mkubwa nchini Marekani Swizz beatz ambaye alionyesha kumkubali sana Wiz. Mwaka jana Swizz alipost cover ya albamu ya Wizkid "Ayo" kwenye instagram yake na kuandika "vibes" baaae akapost tena video aliyokuwa akisikiliza wimbo wa Wizkid "Ojuelegba" hivo Wizkid kaona sio mbaya kama ataonyesha love pia kwa jamaa na kufanya naye ngoma kali.
Jana (20-06-2016) Wiz alitwitt hiki na alipost picha ya pamoja.
Huu mwaka umekuwa mzuri sana kwa Wizkid, baada kufanya kolabo nzuri na star na mshindi wa tuzo za grammy Drake na kufanya ziara ulaya na mkali Chris Brown.

Wizkid

 Swizz beatz

Pamoja

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: HABARI: WIZKID ANAZIDI KUPAA Description: Rating: 5 Reviewed By: Eddy