728x90 AdSpace


Wednesday, June 22, 2016

DOWNLOAD AUDIO: Raisi wa Kaskazini - Uliniona Sifai

Wengi tushazoea kaskazini inatoa wasanii wa kuchana zaidi ukilinganisha na bongo fleva, hii imekuwa tofauti kidogo baada ya jamaa anayejiita Raisi Wa Kaskazini kuja na ngoma kali ya bongofleva. Binafsi nimeielewa sana, kuanzia ujumbe, mpangilio wa sauti mpaka production. Nyimbo inaitwa ULINIONA SIFAI. Download hapo chini baada ya picha....
 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: DOWNLOAD AUDIO: Raisi wa Kaskazini - Uliniona Sifai Description: Rating: 5 Reviewed By: Eddy